➡️Msingi wa Tiba Ya Dr. Sebi:
Chanzo kikuu cha magonjwa yote ni ute ute (mucus),
unayojikusanya ndani ya mwili.
Na ili kumponya mtu ni lazima awe kwenye lishe ya alkaline - ili kuondoa ute ute.
Alkaline diet inahusisha mboga mboga, matunda,
karanga (nuts), jamii ya kunde, miti-shamba n.k.
➡️Orodha ya Vyakula Ambavyo ni Alkaline:
🥦Mboga mboga
Amaranth greens – Callaloo
.
Wild Arugula
.
Bell Peppers
.
Chayote (Mexican Squash)
.
Dandelion greensDandelion greens
.
Garbanzo beans (chick peas)
.
Izote – cactus flower/ cactus leaf- kutoka California
.
Kale
.
Lettuce (zote, isipokuwa Iceberg)
.
Uyoga (wote ispokuwa aina ya Shitake)
.
Nopales – Mexican Cactus
.
Bamia
.
Mzeituni (na mafuta yake)
.
Vitunguu)
.
Purslane (Verdolaga)
.
Mboga mboga za baharini (wakame/dulse/arame/hijiki/nori)
.
Squash
.
Tomato – cherry na plum
.
Tomatillo
.
Turnip greens
.
Watercress
.
Zucchini
🍉Matunda
(Hakuna matunda yasiyo na mbegu)
.
Tufaa
.
Ndizi (za asili pekee)
Berries – aina zote- isipokuwa cranberries
.
Cantaloupe
.
Cherries
.
Currants
.
Tende
.
Figs
.
Zabibu – zenye mbegu
.
Ndimu na malimao – yenye mbegu
.
Maembe
.
Tikiti – lenye mbegu
.
Orange (Seville or sour)
.
Papai
.
Peaches
.
Pears
.
Plums
.
Prickly Pear (Cactus Fruit)
.
Prunes
.
Raisins
.
Nazi na dadu (na mafuta yake)
.
Stafeli – (Latin or West Indian markets)
.
Ukwaju
.
Tango
.
Parachichi
🥜Karanga na Mbegu + Siagi
.
Brazil Nuts
.
Mbegu za Hemp
.
Mbegu za Sesame
.
Ufuta asilia “Tahini”
.
Walnuts
🏺Mafuta
.
Mafuta ya mzeituni (Sio ya kupika kwa moto mkali)
.
Mafuta ya nazi
.
Mafuta ya Grapeseed
.
Mafuta ya ufuta
.
Mafuta ya Hempseed
.
Mafuta ya parachchi
NB: Punguza kutumia mafuta
ya mbegu.
🫘Viungo
Basil
.
Bay leaf
.
Cayenne/African Bird Pepper
.
Mdarasini
.
Dill
.
Kitunguu
.
Oregano
.
Powdered Granulated Seaweed (Kelp/Dulce/Nori – has “sea taste”)
.
Chumvi ya baharini
.
Sage
.
Tarragon
.
Thyme
🍵Chai ya kiasili
Anise
.
Burdock
.
Chamomile
.
Elderberry
.
Fennel
.
Tangawizi
.
Red Raspberry
⚕️Mitishamba yenye Maajabu
Mzizi wa Burdock Root – kusafisha damu na ini na kutibu presha
.
Bladderwrack (seaweed) – vitamini na madini ya kutosha na kutibu presha
.
Dandelion– kusafisha damu na ini na kutibu presha...
.
Elderberry (Sambucus Nigra) – kuondosha ute ute wote ndani na mwili, mafua, kikohozi na Upungufu wa kinga
.
Sea Moss – Irish MossSea Moss – Irish Moss (mimea ya baharini) – utajiri wa vitamini na madini
.
Sarsaparilla – kusafisha damu , kuua bacteria, kuondoa maumivu.
➡️Mtazamo wangu🧠
Watu wanapima na kuona ni ngumu sana kuweza kufuata mafundisho ya Sebi.
Ni kweli kabisa.
Ukiwa mzima wa afya, hauna changamoto yoyote utakuwa na wakati mgumu kuweza kufuata mfumo wa lishe wa Dr. Sebi lakini ikitokea ukawa na shida ya kuponya na umeambiwa suruhisho ni kwenda alkaline way.
Mbona utaweza bila shida yoyote. Ni kawaida kwa binadamu. Saikolojia inasema watu wanaweza kulipa gharama kubwa kutoka kwenye maumivu na si kwenda kwenye raha.
Hivyo ni uchaguzi wako ufate mfumo upi wa maisha na kwa misingi yako. Lakini ukitaka tiba ya alkaline, Dr. Sebi ameifundisha vyema sana.
Ifate na utapata uponyaji.
NB: Vyakula vingi vimetolewa na vingine kuongezwa.
0 Comments