Njia 7 za kubadlil maisha na akili yako sasa

 Kila mtu anatamani maisha mazuri,

Shida inakuja kwenye kulipa gharama. sambaza Iwafikie Wana! Wengi wanakosa nidhamu na kujiheshimu.
Wakitumwa wanafanya, Wakijituma hawafanyi.

Ziko njia nyingi za kufikia maisha unayoyataka. Unaweza kurithi, wachache wana bahati. Unaweza kufanya biashara haramu. Utafungwa Pia unaweza kubaki ukiomba Mungu. Ama ukaamua kuchukua sheria mkononi na kutengeneza maisha yako, na mwenyezi Mungu atakujaalia. Njia sahihi ya kuyafikia maisha unayotaka ni: Kuwekeza kwako na kuwa bora zaidi ya jana. Jifunze ujuzi mpya utakaokusaidia kuingiza kipato. Simaanishi Learning a skill, Namaanisha Acquiring a skill, Kuna utofauti mkubwa hapa... Acquiring is more than Learning a skill. Tatizo kubwa la mfumo wa elimu ni kuwafunza watu bila ku-acquire skills. Yaani mtu anasoma Comp. Sc lakini hawezi kutengeneneza hata landing page. Mtu anasoma lugha mpya lakini hawezi kuongea fluently hata kwa dakika moja tu. Hii ni Learning na sio Skill Acquisition. Skill Acquisition inahitaji: Mazoezi . Mazoezi. Mazoezi. Tena kwenye mazingira halisi. Kama unajifunza Kichina hakikisha unapata sehemu za kuongea na Wchina wenyewe. Kufanya mazoezi kwenye mazingira halisi until autonomous stage - Hapo uta-acquire skill. Tutoke huko. Jifunze tabia mpya zitakazokusaidia kuweza kuwa mtu bora: Kuamka mapema. . Kuishi kwa malengo. . Acha kuamua kwa kutumia hisia. . Wajibika kwenye maisha yako. . Anzisha biashara mpya. Ingiza kipato. . Wekeza. Nunua hisa. Nunua vipande. Nunua ardhi. Wekeza kwenye real estate. . Usikae tu kulalamika, do something. . Unapoweka malengo, jiheshimu na uyafate kikamilifu. . Kuwa na mwendelezo kwenye kile unafanya. . Sow-up kila siku. Italipa in the long run. Acha tabia zinazokurudisha nyuma: -Acha porn -Acha betting -Acha masturbation -Acha kufanya fanya ngono - Live more mindfully... Kataa kuwa normal
💪 Dunia sio ya watu wa kawaida. Duniani ili uweze kufanikiwa lazima kufanya mambo yasiyo ya kawaida kwako. -Lazima uanze kuwaza tofauti, -uanze kuishi kwa kusudi, -uanze kufuata njia yenye tumaini mbele yako. Inawezekana.

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE