Mrithi wa Sadio Mane aitwa Qatar

Anaitwa Moussa N'Diaye (22), juzi alifunga ndoa baada ya muda mfupi akapewa taarifa kuwa, ameitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Senegal akichukua nafasi ya Sadio Mane ambaye ni Majeruhi.



Aidha, Mchezaji huyo amewaaga Watu wake wa karibu jana hii kisha kuelekea nchini Qatar kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia ambapo leo timu yake itaingia dimbani kusaka alama tatu mbele ya Uholanzi.


Ni mara ya kwanza kwa Moussa N'Diaye kuitwa kwenye Timu ya Taifa ya Senegal na watu wanatarajia makubwa kutoka kwa kinda huyo.

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE