Hii Kali! Kombe la Dunia liliibwa na halikupatikana mpaka leo

 Machi 20, 1966 miezi 4 kabla ya Michuano, Kombe la Dunia liliibwa na kugunduliwa na mbwa wa upelelezi aitwaye Pickles siku 7 baadaye likiwa limefungwa kwenye gazeti huko London.



Desemba 19, 1983 liliibwa tena na kusababisha wanaume 4 kuhukumiwa kwa wizi bila ushahidi na Kombe hilo halijawahi kupatikana huku ikiaminika liliyeyushwa na kuuzwa.


FIFA walilazimika kuagiza nakala ya Kombe la Dunia iliyotengenezwa na Eastman Kodak likiwa na Kilo 1.8 za Dhahabu, hilo ndiyo hukabidhiwa Mshindi wa Michuano likiitwa 'FIFA World Cup'.

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE