Dunia Simama Nishuke..Mwanaume Amuoa Mama yake Mzazi Kama Mke wa Pili


Vashko Sande wa Zimbabwe ameushangaza ulimwengu baada ya kumfanya mama mzazi wa mke wake(mama mkwe) kuwa mke wa pili.Hii ni baada ya kuwa kwenye penzi la siri naye kwa miaka 7.Vashko anasema ni furaha yake kuoa mama na bintiye kwani ametokea sana kuwapenda wote.



0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE