WASTANI wa miezi 10 kwa kila Kocha. Pamoja na uwingi wa makocha hao, ambao CV zao 'zimeshiba', Yanga imefanikiwa zaidi kwenye soka la ndani. Ila kimataifa mambo bado magumu.
Hebu tizama makocha waliopita Yanga katika kipindi cha miaka 20 ilikuwa namna hii:-
1. Raoul Shungu (DRC) 2000
2. Charles Boniface Mkwasa(Tz) 2001
3. Jack Chamangwana (Malawi) (rip) 2002-2004
4. Jean Polycarpe Bonganya (DRC) 2004
5. Syllersaid Mziray (Tanzania)(RIP) 2004
6. Kenny Mwaisabula (Tanzania) 2005
7. Jack Chamangwana (Malawi) (RIP) 2006
8. Milutin Sredojevic ‘Micho’ (Serbia) 2007
9. Razack Ssiwa (Kenya) 2007
10. Jack Chamangwana (Malawi) (RIP
) 2007
11. Dusan Kondic (Serbia) 2008-2010
12. Kostadin Papic (Serbia) 2010
13. Sam Timbe (Uganda) 2011
14. Kostadin Papic (Serbia) 2011
15. Tom Saintfiet (Ubelgiji) 2012
16. Ernie Brandts (Uholanzi ) 2012-2013
17. Hans Van Pluijm (Uholanzi) 2013-2014
18. Marcio Maximo ( Brazil ) 2014
19. Hans Van Pluijm (Uholanzi ) 2015-2016
20. George Lwandamina (Zambia) 2016-2018
21. Mwinyi Zahera (DR Congo) 2018-2019
22. Luc Eymael (Ubelgiji) 2019
23. Zlatico Krmpotick (Yugoslavia) 2020
24...?
0 Comments