RAMOS AIPA USHINDI REAL MADRID UGENINI,YAICHAPA 3-2 REAL BETIS

Nahodha Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 82 kwa penalti ikitoka nyuma na kuwalaza Real Betis 3-2 katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Benito Villamarín, Sevilla. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Federico Valverde dakika ya 14 na Emerson aliyejifunga dakika ya 48, wakati ya Real Betis yalifungwa na Aissa Mandi dakika ya 35 na William Carvalho dakika ya 37 PICHA ZAIDI SOMA HAPA



source https://fullshangweblog.co.tz/2020/09/27/ramos-aipa-ushindi-real-madrid-ugeniniyaichapa-3-2-real-betis/

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE